Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo jirani yako yeye hajui???Hbr wadau,
Kwa anaefahamu namna ya kutumia luku ya jirani kuweka umeme naomba anijuze. Hizi luku mpya portable za TANESCO zinaruhusu hiyo kitu, kwa anaefahamu anisaidie
Ahsante
Usimsumbue bure wakati jibu la swali lake lishapatikanaNAKUSHAURI NENDA TENESCO WATAKUPA MAJIBU SAHIHI
Toeni majibu, acheni referrals ....au hizo info ni siri kubwa za nchi?! Wekeni taarifa hizo mtandaoni, mna website badala ya kuitumia wateja tujihudumie mnaweka vitu visivyoeleweka.tafadhali wasiliana na ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe au piga namba 0768985100 kwa msaada zaidi
Toeni majibu, acheni referrals ....au hizo info ni siri kubwa za nchi?! Wekeni taarifa hizo mtandaoni, mna website badala ya kuitumia wateja tujihudumie mnaweka vitu visivyoeleweka.
Unadhani sijui ofisi za Tanesco zilipo? Au hilo li namba lenu la customer care mnahisi sijui namna ya kuipata?
Wekeni info hapa, kuna mtu mwingine kesho na keshokutwa atakumbwa na tatizo kama langu na atakuja hapa kupata jawabu na sio referrals zisizoisha
Ndugu mpendwa mteja haiwezekani kiweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani lakini unaweza kuweka kupitia kwa jirani kwa kwenda na CIU au remote ya nyumba yakoHbr wadau,
Kwa anaefahamu namna ya kutumia luku ya jirani kuweka umeme naomba anijuze. Hizi luku mpya portable za TANESCO zinaruhusu hiyo kitu, kwa anaefahamu anisaidie
Ahsante
Nadhani umemuelewa tofautebu nenda na remote ya luku kwa jirani yako iunganishe kwenye cable itawasha pale ingiza namba za ruku ikiandika accept imekubali
Hii mpya. Mbona tunaingiza kawaida siku zote. Hiyo process yako ya nchi gani?fanya hivi unaanza mfano wa luku yangu nimeenda kwa jirani kuweka u meme 0242142004280024214200280 unaweka OK alafu unaweka units zako ukimaliza kuingiza unaingiza mita number za jirani yako kama ulivyo ingiza za kwako ili kuiludisha mita Katia mfumo wake wa Zaman mfano 03232150076200323215007620 unaweka OK
Unapata unit ngapi kwa hiyo elfu 10?je wastani wa matumizi yako kwa siku ni unit ngap?Umeme wa elfu kumi haufiki wiki maana yake nini? Nyumba ina taa , tv na kupasi mara chache sana. Tatizo nini?
Napata unit 28. Kwa siku haifiki unit 2Unapata unit ngapi kwa hiyo elfu 10?je wastani wa matumizi yako kwa siku ni unit ngap?