Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Mita yangu iliungua na nikaenda kuripot wakaniambia watanibadilishia ila imepita mwaka na miezi miwili hadi leo kimya wao ni danadana tu
Mkoa, wilaya, eneo namba ya simu, namba ya mita na namba ya taarifa tafadhali
 
Nimenunua umeme kupitia hallotel ila sijapata token
Luku namba 24214538118
Namba ya simu 0620175937
 
Ndugu mteja.

Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.

Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.View attachment 924682
Mkuu me naomba ufafanuzi katika hili.
ipo hivi jirani yangu akinunua umeme wa elfu 5. Anapewa Unit 45 kama sijasahau .
ila mimi nikinunu umeme wa elfu 5 hiyo hiyo napewa Unit 14. Tatizo itakuwa ni nini.
NAOMBA UFAFANUZI KATIKA HILI
 
hii ndio imesababisha baadhi ya wateja ambao sio waaminifu kuanza kuchukua rimoti (CIU) za wengine na kuuza kwa wateja ambao wamepoteza kwa sababu wanajua jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia kifaa cha jirani, tunafanya hivyo malengo maalum, kama mteja ameshindwa kuweka umeme ni wajibu wa TANESCO kwenda kutoa huduma bureeeee!!!

TANESCO utaratibu upoje kwa mtu mwenye CIU mbovu?

Haiwaki ikiwekewa betri wala kwenye umeme
 
Ndugu mpendwa mteja haiwezekani kiweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani lakini unaweza kuweka kupitia kwa jirani kwa kwenda na CIU au remote ya nyumba yako
Inawezekana mbona
We hapo TANESCO unafanya kazi gani? Uliza wataalamu wakuelekeze
 
Kwa remote zinazoanza na 37, kwenye remote yako ingiza 59698686 kisha unaunganisha na namba yako ya meter halafu inter baada ya hapo remote yako itakua tayari kutumika kwenye hiyo meter

Yaani hivi bonyeza
59698686+namba yako ya mita+ok itaandika good, baada ya hapo weka umeme wako
 
Hapa kuna ka siri kamejificha, mtoa mada au wewe uliechangia ,nikiwa kifaa changu cha kuwekea umeme aidha kimekufa au kimepotea je ni njia ipi nitaitumia kwa kutumia kifaa cha jirani yangu niweze weka huo umeme ,Tanesco naona kama mlijibu kwa kutuhadaa ila hii tricky naona ipo.
 
Back
Top Bottom