Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Naomba kurudishwa kwenye mteja wa kawaida wa chini ya unit 72 kwani matumizi yangu kwa sasa hayazidi hizo unit. Namba yangu 54150367891 #TANESCO
wala usiangaike mkuu , ile tariff ya D1 ilikua karibu mteja, ni kama bonus ivi, wanaku time ujichanganye upande daraja, na ukishapanda sahau kurudishwa, period
 
Naomba kurudishwa kwenye mteja wa kawaida wa chini ya unit 72 kwani matumizi yangu kwa sasa hayazidi hizo unit. Namba yangu 54150367891 #TANESCO

huduma hii inafanyika kwa wateja ambao wametumia umeme zaid ya miezi 3 na kuendelea
 
tafadhali wasiliana na ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe au piga namba 0768985100 kwa msaada zaidi
habari mimi nina swali bibi yangu ana miaka 82 ameachiwa nyumba na mumewake aliishafariki sasa luku yake ambayo inajina ya mumewe inadeni kama laki saba yeye anasema anataka apewe msamaha kama upo au anunue luku nyingine mpya kwa jina lake maana garama itakuwa ni ndogo je inawezekana
 
habari,
TANESCO kuna utaratibu maalum ya kuhusu madeni, kama hio nyumba ililkuwa na deni ni lazima deni lilipwe ndio ifungwe mita nyingine, hivyo tunakushauri hio hela ya kufunga mita mpya ni vyema kupunguza deni la umeme kwenye nyumba hio.
 
Ndugu mpendwa mteja haiwezekani kiweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani lakini unaweza kuweka kupitia kwa jirani kwa kwenda na CIU au remote ya nyumba yako
Nyumba tunaeka umeme wa alfu 75 tuna friji na pasi na tv haumalizi mwezi tatizo nn
 
Nyumba tunaeka umeme wa alfu 75 tuna friji na pasi na tv haumalizi mwezi tatizo nn
Ndugu mteja apo tatizo ni matumizi yako, vifaa ambavyo unavyo bila kusaau umeshafanya ukaguzi wa mtandao wako wa umeme (wiring)?
 
Tanesco waduanzi sana,takataka kabisa...hii nchi inasogea kwa kujikongoja sana sababu ya baadhi ya ukiritimba wa hawa wafanyakazi wao kiwaki,yaani kila kitu hadi waweke mlolongo wakati kuna majibu mafupi ambayo ni sahihi,upuuzi mtupu!
 
Mita yangu iliungua na nikaenda kuripot wakaniambia watanibadilishia ila imepita mwaka na miezi miwili hadi leo kimya wao ni danadana tu
 
Mita yangu iliungua na nikaenda kuripot wakaniambia watanibadilishia ila imepita mwaka na miezi miwili hadi leo kimya wao ni danadana tu
Kwahiyo umekaha mwaka bila umeme
 
Mmh haya. Ila nahisi kuna tatizo mahali
Ndugu ufumbuzi wa tatizo kipaji, tafuta mkandalasi mwenyevipimo apime mfumo wa wire zilizo tandazwa kwenye nyumba yako kama akiwa na kipimo saihi tatizo litaonekana tu epuka kuchukuwa mafundi wamitaani tafuta Fundi anaye tambulika na mwenye licence ya ewura
 
Back
Top Bottom