Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

Ndugu mteja.

Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.

Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.
1541594470230.jpeg
 
Ndugu mteja.

Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.

Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.View attachment 924682
nimependa jinsi mnavyotoa huduma zenu na elimu mnayotupa kupitia kile kipindi chenu cha tv japo kwa sasa sikioni kikioneshwa
 
Kipindi bado kipo kinarushwa TBC1, Itv na Startive muda ule ule
 
Ndugu mteja.

Baada ya kuangalia matumizi yako inaonyesha kuwa kuanzia mwezi wa 4 mwaka huu matumizi yako yalipanda kutoka wastani wa unit 80 hadi 100 na kuendelea.

Hii inaweza kusabibishwa na mambo yafuatayo.
1. Vifaa vyako vya umeme kuwa chini ya ubora na kusabibabisha kutumia umeme mwingi.
2. Matumizi mabaya ya umeme kama kuwasha taa wakati wa mchana.
3. Kutumia taa na vifaa vingine ambavyo sio energy saver.
4. Wiring yako kuhitaji kukaguliwa. Tanesco tunashauri walau kila baada ya miaka mitano kukaguliwa.View attachment 924682
Mi nina swali nimeunganisha umeme mi ni mteja mpya na nimepewa unit kumi tu. Nimeambiwa nikitaka kununua umeme kwa mara ya kwanza ni lazima nianzie tanesco ili kujisajili Je kiwango cha chini kununua ni sh ngapi??
 
Nafikiri huwezi kutumia luku ya jirani ila umeme wa jirani sio zaidi ya m 100 , tumia tu remote yako uliyopewa na Tanesco utaingia bila shida . Kama hutaki umeme wa girani nunua tu battery nzuri kwenye remote yako . Hakikisha umeme haufiki zero, cheki kila wakati ili usiombe jirani
 
Mi nina swali nimeunganisha umeme mi ni mteja mpya na nimepewa unit kumi tu. Nimeambiwa nikitaka kununua umeme kwa mara ya kwanza ni lazima nianzie tanesco ili kujisajili Je kiwango cha chini kununua ni sh ngapi??
Asante ndugu mteja.

Kununua mara kwanza unanunua ofisi ya Tanesco iliopo karibu na wewe. Kwq mara ya kwanza unatakiwa kulipia kiasi kuanzia shilingi 18,000 kwa sababu unapofungiwa umeme unakuja na unit 50.

Ingawa kuna baadhi ya mita zinakuja na unit 10 hivyo basi baada ya kununua umeme ofisi ya Tanesco utatakiwa kufika pia ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya kupatiwa unit zako ambazo umelipia (unit 40).

Ndugu mteja kumbuka huduma hio yote hapo juu ni BUREEEE!! hakuna gharama ya usajili wa mita
 
Hivi maeneo ya Kimara baruti kuna tatizo gani mbona umeme unaweza kukatika hata Mara 3-5 kwa siku au hatupati kabisa mpaka usiku wa manane? huku bondeni ukivuka eneo lile la wazi lakupitishia umeme .yani utadhani tunaishi vijijini,tena bora vijijini wanapata umeme wa REA kwao ni afadhali. Hili shirika sometimes ni shida yani umeme ukija watoto wanapiga kelele "huoooo"
 
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
 
Asante ndugu mteja.

Kununua mara kwanza unanunua ofisi ya Tanesco iliopo karibu na wewe. Kwq mara ya kwanza unatakiwa kulipia kiasi kuanzia shilingi 18,000 kwa sababu unapofungiwa umeme unakuja na unit 50.

Ingawa kuna baadhi ya mita zinakuja na unit 10 hivyo basi baada ya kununua umeme ofisi ya Tanesco utatakiwa kufika pia ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya kupatiwa unit zako ambazo umelipia (unit 40).

Ndugu mteja kumbuka huduma hio yote hapo juu ni BUREEEE!! hakuna gharama ya usajili wa mita
Asante ngoja nikadai unit 40 zangu mapema.

#DG
 
Ukishanunua mpendwa.mteja.wetu
kwanini wateja wengi wenye matumizi madogo wapo kwenye huduma ya tarifu T1...na hakuna utaratibu wowote wa kuwasaidia ili waepukane na gharama zisizo maana....sasa mnampango gani...?
 
Wateja wote wanawekwa kwenye makundi yanayoendana na matumizi yao hivyo tunazingatia matumizi ya mteja husika
 
nina nyumba ndogo tano...mikoa tofauti zote nilikuwa kwenye T1 ... Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya watanzania wengi matumizi yetu ya umeme ni madogo na wengi hawajui taratibu za kuomba kubadilishiwa kwenda taarif nyingine...wekeni wazi huduma zenu sisi ndio maboss mpo kwenye nafasi zenu mlizopo kwaajiri ya kutuwakilisha tu...kumbukeni kuwa kodi zetu ndizo zinazoliendesha shirika...
 
Ukipitia thread hii utaona elimu zote tumeweka aitha mfumo wetu unaona.kila.mita nchini na kuiweka kwenye kundi sahihi.wateja wengi wapo T1ambalo ni kundi la matumizi ya kawaida ya nyumbani hivyo hilo sio tatizo
 
mzee kumbuka mimi ni boss wako....unapo zungumza na boss hakikisha unakuwa mnyenyekevu japo kidogo...tariifu zipo 4 ama tano lakini d1 na t1 ndio za majumbani...kinacho nikera ni nyie kujidai kuwa system inachagua...ila ni uongo watanzania mnatuibia robo tatu ya watanzia wanapaswa kuwa D1 ila system ya hovyo inawaweka T1...kumbuka msemo ule wa kizungi NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK...ninacho kiongea nimekifanyia uchunguzi
 
Tunaomba namba yako ya mita unayodai ipo tarif isiyosahihi tukujibu kwa data
 
Back
Top Bottom