Nimeona maelezo kwamba zinapatikana kwenye website za United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training, The National Council for Technical Education na PMORALG | Prime Minister's Office - Regional Administration and Local Government. Nimetembele huko kote lakini sijapata kitu. Naomba msaada tafadhali..!!