malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibikaHaina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana
Ila kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwauaNamaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika
Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakunaIla kwa kuwa kuosha hakuondoi vijidudu ni heri uzipike kwanza kuwaua
Hapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5Ukizipika ukasaga juisi ikoje sivurutubishi hakuna
Hizi dakika5 sumu itakua imeisha kweliHapana boiling temperature isiwe kubwa sana just dakika 5