Msaada Juis ya mboga mboga za majani

Msaada Juis ya mboga mboga za majani

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu Nina juicer machine yenye uwezo wakukamua mboga zamajani kuwa juice na makapi yake yanakua pembeni na nabakia na juice ..wakuu nauliza Kuna madhara yakukamua mboga za majani bila kuchemsha nakutoa juisi yake nnkainywa
 
Nawaza hapa juice ya mchunga na mchicha inakuaje jibu sipati kabisaaaa
 
Aah mfano ya matembele ni nzuri kwa damu, bamia kulainisha joint, hayo mengine sijui
 
Wanasema eti sababu mboga za majani zinapuliziwa madawa
 
Haina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana
 
Haina shida mbona wanyama wanakula Makamu hawapiki na kuna watu hata nyama wanaila haiivi sana
Namaanisha hizi mboga mboga zetu zinazokuzwa kwakumwagiliwa madawa zisife Wala kuharibika
 
Back
Top Bottom