the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Ndugu wanajamvi nataka kuomba diploma ya udaktari wa mifugo kwa mwaka wa masomo2013/14,nimeona Tangazo la nafasi katika website ya wizara ya mifugo,kilichonitishanilipata taarifa awali kuwa ada n laki tatu ukiwa na government sponsership sasa nimeona kwenye tangazo wameweka ada n millioni
Mbili na kitu kwa private inayojumuisha ckakula ambayo ni milion moja na laki moja na kitu kwa private na government sponsered!mimi cjalielewa maaana najua hapo bado kuna vifaa vya kununua!naomba wenye ufahamu juu ya hili wanijuze tafadhari n nia yangu dhabiti kusoma hii diploma! Nawasilisha