Msaada juu ya Award Verification Number (AVN)

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
410
Reaction score
422
Habari za jioni wadau, naomba kujua jinsi ya kupata Award Verification Number (AVN)
Je ni lazima kuwa na hiyo namba ili uapply degree.
 
Alfat
Ni sifa zipi ue nazo ili uipate AVN ?
1-Uwe umemaliza chuo kinachotambulika na NACTE au TCU
2-Uwe huna sup hata moja
3-Chuo ulichomaliza kiwe kimetuma matokeo yako NACTE yakiwa kwenye Softcopy na Hardcopy kwa usahihi wake

Kama yote hapo juu yatakuwa yamekamilika yafuatayo ni,

4-Utaingia www.nacte.com, then utaingia kwenye AWARD VERIFICATION NUMBER hapo utaendelea mwenyewe maana maelezo yote yamo huku huko
Alfat
 
Hello ,,, naomba mnisaidie Mimi ni mwanafunzi ninayetaka ku apply bachelor degree ila natokea diploma,,, kivipi naweza kuipata hiyo AVN,, Coz nimejaribu kufanya mchakato naona unagoma,, please kwa Alie na uzoefu naomba anisaidie
 
Unakwama wap hili tujue wap kwa kuanzia
 
Hello ,,, naomba mnisaidie Mimi ni mwanafunzi ninayetaka ku apply bachelor degree ila natokea diploma,,, kivipi naweza kuipata hiyo AVN,, Coz nimejaribu kufanya mchakato naona unagoma,, please kwa Alie na uzoefu naomba anisaidie
Umesoma Diploma ipi?
Kwa ushauri zaidi, Fika Ofisi ya Nacte kanda yoyote.

Utasaidiwa kwa haraka sana.
 
Wakati naomba AVN, nimepata changamoto hii, nifanyaje jaman???
 
Hiii,samahani naomba kuuliza ukiwa unaomba AVN unaweka matokeo ya mwaka wa mwisho maan mm nimemaliza mwaka huu naomba kujua naweka ya mwaka huu au n ya miaka yote,,,,,,,,,,...pia naomba kuuliza hiyo AVN inatumika kwnye kuomba na mikopo au n vyuo tu naomba kusaidiwa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hili swali nishakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…