Msaada juu ya biashara ya burger

Msaada juu ya biashara ya burger

Mugondo

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
168
Reaction score
180
Wasalaam Wanajf,

Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo:

  1. Inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani (kwa kuanzia)?
  2. Ni vitu gani vinavyohitajika?
  3. Risk za biashara hii ni zipi?
Natanguliza shukrani!
 
Kama uko na sehemu tayari. Mtaji ni kiasi chochote ata kuanzia laki 3 unaanza.
Burger haiitaji mtaji mkubwa.
Vitu vinavyoitajika ni mashine ya kusaga nyama, mkate, nyanya, vitunguu, mayonaise, etc.

Vizuri upike burger ya nyama ya kawaida na ya nyama ya kuku.
 
Hiyo mashine ya kusaga bei gani mkuu?
 
Kama uko na sehemu tayari. Mtaji ni kiasi chochote ata kuanzia laki 3 unaanza.
Burger haiitaji mtaji mkubwa.
Vitu vinavyoitajika ni mashine ya kusaga nyama, mkate, nyanya, vitunguu, mayonaise, etc.

Vizuri upike burger ya nyama ya kawaida na ya nyama ya kuku.

Vipi kuhusu risks za biashara hii?
 
Kama uko na sehemu tayari. Mtaji ni kiasi chochote ata kuanzia laki 3 unaanza.
Burger haiitaji mtaji mkubwa.
Vitu vinavyoitajika ni mashine ya kusaga nyama, mkate, nyanya, vitunguu, mayonaise, etc.

Vizuri upike burger ya nyama ya kawaida na ya nyama ya kuku.

Asante kwa ushauri, bafo sijapata eneo. I waz thinking loudly...nilipata hilo wazo la kutengeza burger
 
Eneo na'suggest Oilcom petrol Station pale Ubungo,ts just perfect em watafte wahusika,
afu pia unaweza wasiliana na Steers,Subway au KFC kama kuna uwezekano ukafanya kama franchise,so wanakupa vifaa vya kazi,
 
Back
Top Bottom