Msaada juu ya dawa hizi

Msaada juu ya dawa hizi

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
2,341
Reaction score
2,390
Ndugu wanajamvi nina mtoto wa miezi 9 wa kiume ana wiki sasa anakohoa japo si mfululizo,jana dokta amenipa dawa zifuatazo; SYU Amox, JSYU Cough mix na Tabpam.

Naomba msaada wenu juu madhara ya dawa hizi kwasababu mimi nipo safarini,wife ndo alimpeleka dogo kituo cha afya na hakumuuliza dokta swali hilo.
 
mpe AMBROX- mucolytic expectorant syrup 2.5ml *3......kama ni kweli hakohoi mfululizo...akiacha kukohoa acha kumpa..haina madhara yeyote
 
mpe AMBROX- mucolytic expectorant syrup 2.5ml *3......kama ni kweli hakohoi mfululizo...akiacha kukohoa acha kumpa..haina madhara yeyote

Ahsante sana ndugu kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom