Ndugu wanajamvi nina mtoto wa miezi 9 wa kiume ana wiki sasa anakohoa japo si mfululizo,jana dokta amenipa dawa zifuatazo; SYU Amox, JSYU Cough mix na Tabpam.
Naomba msaada wenu juu madhara ya dawa hizi kwasababu mimi nipo safarini,wife ndo alimpeleka dogo kituo cha afya na hakumuuliza dokta swali hilo.