Mango chacha
Member
- Sep 26, 2022
- 5
- 10
Zilisumbua sana mjini mwanzoni mwa 2010s kabla ya Brevis na Crown kuja kwa nguvu....nasikia ni cc 2000 - 2500 kwa unywaji nafikiri ni lazima uwe juuVerossa ndio gari gani
Tatizo letu wabongo ni kutathmini hela kuliko bidhaa uliyonunua,sh 10,000/= unapata lita tatu tu ya mafuta,hiyo gari tenki lake linaingia lita 60+!sasa unategemea taa itazima kwa lita tatu?Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa
Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
Zipo zenye BEAMS2000 cc2000 VVTi ulaji wala hautishi.Verosa ni gari ya zamani hata hivyo... kumbuka ulaji wa mafuta ni mkubwa kwasababu hiyo gari ni six cylinder Cc 2500, Kwa mafuta ya tsh 10,000 hata gari ya cc 1500 haiwezekani taa kuzima
Weka mafuta ya tsh 40,000 hiyo taa itazima
10,000 unapata lita 3. Huwezi kutumia 3L kwenye gari yoyote utaua fuel pump na nozzle bure.Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa
Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
Mm naweka mafuta ya 7000 kwenye spacio mbona inadunda tu Sema haitembei sana naingia tu mtaani na kurudi10,000 unapata lita 3. Huwezi kutumia 3L kwenye gari yoyote utaua fuel pump na nozzle bure.
Umeona ulivyomalizia maelezo yako. Hata lita moja weka ila unaharibu gari. Madhara ya uharibifu huo hayatokei siku moja.Mm naweka mafuta ya 7000 kwenye spacio mbona inadunda tu Sema haitembei sana naingia tu mtaani na kurudi
Nimepata experience baada ya kuanza kutumia gari ya CC 2000 kwenye mafuta, ikiwaka taa huwa naweka mafuta ya tsh 40,000 ndipo taa itazima na huwa ni muda huohuo naingia kituoni kuweka wewe..hakuna kitu kibaya kama kutembea huku taa inawaka ni hatari sanaMm naweka mafuta ya 7000 kwenye spacio mbona inadunda tu Sema haitembei sana naingia tu mtaani na kurudi
Nimepata experience baada ya kuanza kutumia gari ya CC 2000 kwenye mafuta, ikiwaka taa huwa naweka mafuta ya tsh 40,000 ndipo taa itazima na huwa ni muda huohuo naingia kituoni kuweka wewe..hakuna kitu kibaya kama kutembea huku taa inawaka ni hatari sana
Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa
Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
Dah mzeeVerossa ndio gari gani
Kweli maana unakuwa unawaza Mda Wote taa ya mafuta hata gari huendeshi kwa kutulia unakuwa unakimbia kimbia tu Bara barani πKwanza ile taa ni stress tupu
Unakimbia kiajeKweli maana unakuwa unawaza Mda Wote taa ya mafuta hata gari huendeshi kwa kutulia unakuwa unakimbia kimbia tu Bara barani π
Na yanaweza kutembea km ngp?weka atleast ya 30k taa itazima. Taa nadhani inaanza kuwaka mafuta yakibaki approx 5-10litres kulingana na fuel tank.
Hivo ukijaza ya 30k maana yake una uhakika wa abt 9.8litres ambayo inazimisha taa.
Kweli maana unakuwa unawaza Mda Wote taa ya mafuta hata gari huendeshi kwa kutulia unakuwa unakimbia kimbia tu Bara barani π
Na ayo ya 40 yanaweza tembea km ngp?Verosa ni gari ya zamani hata hivyo... kumbuka ulaji wa mafuta ni mkubwa kwasababu hiyo gari ni six cylinder Cc 2500, Kwa mafuta ya tsh 10,000 hata gari ya cc 1500 haiwezekani taa kuzima
Weka mafuta ya tsh 40,000 hiyo taa itazima
Aproximately Km 40-50 inategemea na hali ya gari lako pia barabarani folen kama kubwa utaumia mapemaNa yanaweza kutembea km ngp?
Verosa inatumia lita moja Kwa km 7-8Na ayo ya 40 yanaweza tembea km ngp?