Msaada juu ya gari aina ya Verossa

Msaada juu ya gari aina ya Verossa

Verossa ndio gari gani
Zilisumbua sana mjini mwanzoni mwa 2010s kabla ya Brevis na Crown kuja kwa nguvu....nasikia ni cc 2000 - 2500 kwa unywaji nafikiri ni lazima uwe juu

1000012968.jpg
 
Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa

Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
Tatizo letu wabongo ni kutathmini hela kuliko bidhaa uliyonunua,sh 10,000/= unapata lita tatu tu ya mafuta,hiyo gari tenki lake linaingia lita 60+!sasa unategemea taa itazima kwa lita tatu?
 
Verosa ni gari ya zamani hata hivyo... kumbuka ulaji wa mafuta ni mkubwa kwasababu hiyo gari ni six cylinder Cc 2500, Kwa mafuta ya tsh 10,000 hata gari ya cc 1500 haiwezekani taa kuzima

Weka mafuta ya tsh 40,000 hiyo taa itazima
Zipo zenye BEAMS2000 cc2000 VVTi ulaji wala hautishi.
Ila 10,000 ni 3L tu huwezi kutumia kupima ulaji wa mafuta.
 
Mm naweka mafuta ya 7000 kwenye spacio mbona inadunda tu Sema haitembei sana naingia tu mtaani na kurudi
Nimepata experience baada ya kuanza kutumia gari ya CC 2000 kwenye mafuta, ikiwaka taa huwa naweka mafuta ya tsh 40,000 ndipo taa itazima na huwa ni muda huohuo naingia kituoni kuweka wewe..hakuna kitu kibaya kama kutembea huku taa inawaka ni hatari sana
 
Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa

Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?

Nakushauri hiyo gari uza tu maana muda mwingi utakuwa umeipark...
 
weka atleast ya 30k taa itazima. Taa nadhani inaanza kuwaka mafuta yakibaki approx 5-10litres kulingana na fuel tank.
Hivo ukijaza ya 30k maana yake una uhakika wa abt 9.8litres ambayo inazimisha taa.
 
weka atleast ya 30k taa itazima. Taa nadhani inaanza kuwaka mafuta yakibaki approx 5-10litres kulingana na fuel tank.
Hivo ukijaza ya 30k maana yake una uhakika wa abt 9.8litres ambayo inazimisha taa.
Na yanaweza kutembea km ngp?
 
Kweli maana unakuwa unawaza Mda Wote taa ya mafuta hata gari huendeshi kwa kutulia unakuwa unakimbia kimbia tu Bara barani 😁

Verosa ni gari ya zamani hata hivyo... kumbuka ulaji wa mafuta ni mkubwa kwasababu hiyo gari ni six cylinder Cc 2500, Kwa mafuta ya tsh 10,000 hata gari ya cc 1500 haiwezekani taa kuzima

Weka mafuta ya tsh 40,000 hiyo taa itazima
Na ayo ya 40 yanaweza tembea km ngp?
 
Back
Top Bottom