oxlade
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 601
- 96
habari zenu, naomba mnisaidie kwa gari hii ambayo wamenitumia details zake
CIF ni dola 4170.
details zake ni hizi hapa
Ref No: 19549A7N4
Year: Jun, 2005
Make: TOYOTA
Name: VITZ
Engine Size: 1,000cc
Gear: AT
Fuel: Petrol
Door: 5
Seats: 5
Chassis: KSP90-0010599
Model No.: DBA-KSP90
Color: SILVER
EngineType 1KR-0104055
Mileaged 97,000km
sasa swali langu je likifika ntatakiwa kulipia kiasi gani mpaka kulipata? nimepitia tovuti ya tra lakini sijaelewa namna wanavyocalculate, nqombq msaada wenu jamqni nijue ushuru wake ni kiasi gani mpaka linifikie mkononi