Msaada juu ya hedhi

Msaada juu ya hedhi

She is my Best friend, we have to enjoy sex, umeipata hiyo, sina amani hata Mimi ntapoteza pesa unafikir nan atamuhudumia
Nendeni sanitas jumanne saa 8 mchana kuna dokta mzuri wa kina mama anaitwa Dr Maembe kama kumbukumbu iko sawa maana nimepoteza contact zake ila yuko vzr
 
Salami tena, wapenzi,
Nashukru kwa ushauri mzuri mlionipa.
Napenda kuwafahamisha lile tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu limekoma,
Asanteni woote,

KWA SASA NI FULL MAUSTAREHE
 
Back
Top Bottom