Nendeni sanitas jumanne saa 8 mchana kuna dokta mzuri wa kina mama anaitwa Dr Maembe kama kumbukumbu iko sawa maana nimepoteza contact zake ila yuko vzr
Salami tena, wapenzi, Nashukru kwa ushauri mzuri mlionipa. Napenda kuwafahamisha lile tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu limekoma, Asanteni woote, KWA SASA NI FULL MAUSTAREHE