Msaada juu ya hii hali kwa mjamzito

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Za jioni wapendwa, ninatokewa na hali ya kuhic ukungu machoni hasa jicho LA kushoto, mshipa wa shingo huu wa nyuma unakaza huku vkiambatana na maumivu makli sana ya kichwa, kutokwa na jasho jingii hasa kichwani na usoni.

Hii hali imenitokea Jana asbh majira ya sa tatu na Leo jioni nikiwa kweny usafr wa umma nikitkea kazn, hvyo ckuwa na access ya kwenda hospitali.

Nb: hali hii hupungua pale nitapikapo

Wapendwa/wataalamu wa afya nishaurini je hii yaweza kuwa no pressure au LA! Na kama ndio ni IPI kupanda au kushuka? He nitokewapo na hali hii huduma ya kwanza nifanyeje?
 
Unapokua mjamzto unatakiwa kua makini na mabadiliko ya mwili wako haraka sana wahi hospital jana asubh had sasa hivi hujaenda tu hospital, kesho ukijaaliwa kuamka salama salmini inshallah wahi upesi huko kamweleze dokta atakusaidia
 
Swali; Ni mimba ya ngapi? Je, ina miezi mingapi?? Jieleze tu utapata msaada au ushauri kuwa umwone nani. Usijeenda hospitali ya macho au moyo kabla ya klinic.
 
Swali; Ni mimba ya ngapi? Je, ina miezi mingapi?? Jieleze tu utapata msaada au ushauri kuwa umwone nani. Usijeenda hospitali ya macho au moyo kabla ya klinic.
Ni ya kwanza miez mi5 kasoro kdg klinik nishaanza na nilipima kila kitu kipo normal
Na tatizo hili zaidi limeanza jana
 
Unapokua mjamzto unatakiwa kua makini na mabadiliko ya mwili wako haraka sana wahi hospital jana asubh had sasa hivi hujaenda tu hospital, kesho ukijaaliwa kuamka salama salmini inshallah wahi upesi huko kamweleze dokta atakusaidia
Asante mpendwa wangu
 
Ni ya kwanza miez mi5 kasoro kdg klinik nishaanza na nilipima kila kitu kipo normal
Na tatizo hili zaidi limeanza jana

Rudi tena pale pale clinic na kadi yako. Waeleze tatizo lako. Kuna kitu kinaitwa "Kifafa cha mimba". Hukupelekea hadi kupoteza faham haswa ukiwa sehem zenye mishemishe nyingi eg Sokoni, kituo cha basi, kanisani yaani mahali wengi wapo busy na mambo yao hawakuangalii. Unaanza kuingiwa na vijihofu flani, na ghafla unajikuta umezima data box yako (Unazimia). Huwa inaanziaga miezi hiyo yako. Sikuambii kama kukutisha ila mahali salama pa kuanzia ni clinic
 
Alafu kunywa maji mengi, Kula tembele kuongeza damu au rozera... Kuhusu maji Angalau Lita tatu kwa Siku ukiweza piga Tano kabisa... Pata Muda wa kupunzika
 
Alafu kunywa maji mengi, Kula tembele kuongeza damu au rozera... Kuhusu maji Angalau Lita tatu kwa Siku ukiweza piga Tano kabisa... Pata Muda wa kupunzika
Asante ndg kwa ushauri ila damu cna waswasi kwani last week ilikuwa 12.8 na ninatumia vdonge vya folic acid kila cku
Hapo kwenye kupmzka sasa, mhhh! Maana ni mwendo wa kuhudhulia haja ndogo karb kila saa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…