Za jioni wapendwa, ninatokewa na hali ya kuhic ukungu machoni hasa jicho LA kushoto, mshipa wa shingo huu wa nyuma unakaza huku vkiambatana na maumivu makli sana ya kichwa, kutokwa na jasho jingii hasa kichwani na usoni.
Hii hali imenitokea Jana asbh majira ya sa tatu na Leo jioni nikiwa kweny usafr wa umma nikitkea kazn, hvyo ckuwa na access ya kwenda hospitali.
Nb: hali hii hupungua pale nitapikapo
Wapendwa/wataalamu wa afya nishaurini je hii yaweza kuwa no pressure au LA! Na kama ndio ni IPI kupanda au kushuka? He nitokewapo na hali hii huduma ya kwanza nifanyeje?