MAJIYAPWANI JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,726 Reaction score 2,691 May 21, 2020 #1 Habari Wana Jf Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je vinadumu? Havisumbui?
Habari Wana Jf Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je vinadumu? Havisumbui?