Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
nikua mimi nipo songea,lakini nataka kusafiri kwenda morogoro kwa kukatsha safar either songea mbaka makambako alafu morogoro,,au songea mbaka iringa alafu morogro, sasa nauliza nikifika pale iringa saa 9 jioni je nitapata usafiri wa morogoro?? pili nikifika pale makambako sa 5,nitapata usafiri wa morogoro??