MSAADA juu ya hili kwa mwana jf anayeishi iringa au makambako.

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
nikua mimi nipo songea,lakini nataka kusafiri kwenda morogoro kwa kukatsha safar either songea mbaka makambako alafu morogoro,,au songea mbaka iringa alafu morogro, sasa nauliza nikifika pale iringa saa 9 jioni je nitapata usafiri wa morogoro?? pili nikifika pale makambako sa 5,nitapata usafiri wa morogoro??
 
Usafiri wa kutosha,
 
Usafiri upo mkuu kuna mabasi yanayotokea Zambia na Congo ya Kampuni ya Taqwa uyayapata wakati huo ondoa shaka kabisa mpaka Saa11:30jioni bado unasafiri
 
Back
Top Bottom