Pole sana rafiki
wadau habari zenu mm nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambuki na tayar tulishaduu naye na yy tayar alishaanza kutumia arv maana alikuwa na cd4 count 97 sasa je mm niliambiwa nirudi tena je kwa hyo kinga aliyokuwa nayo na hatukutumia condoms mm nitasalimika kwel naomben ushaur wa kunijaza iman

Wenzio tumekua wazee wa bao moja moja zikizidi mbili bac moja saa 2 usiku ya pili saa 10 alfajiri niko naye huu mwaka 6 na ni mzima salmin, ila nyege zikijaa unaweka na salama study kama box 3 pembeni.wadau habari zenu mm nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambuki na tayar tulishaduu naye na yy tayar alishaanza kutumia arv maana alikuwa na cd4 count 97 sasa je mm niliambiwa nirudi tena je kwa hyo kinga aliyokuwa nayo na hatukutumia condoms mm nitasalimika kwel naomben ushaur wa kunijaza iman
mmmmhhhh leo hizi threads zitanipeleka icu
1. Inamaanisha alikuwa anajijua lakini hakutaka kukwambia?
2. Mlifanya kwanza live kwa mwezi mmoja ndio mkaenda kupima?
duu pole sana unaweza salimika u never know
samahani kwa kutoka nje ya mada,ulimpata hapa jf?
wadau habari zenu mm nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambuki na tayar tulishaduu naye na yy tayar alishaanza kutumia arv maana alikuwa na cd4 count 97 sasa je mm niliambiwa nirudi tena je kwa hyo kinga aliyokuwa nayo na hatukutumia condoms mm nitasalimika kwel naomben ushaur wa kunijaza iman
Mkuu much pole tu you..!! Possibilty ya ww kuwa -ve ni ndogo sana as longer ulisha thibitisha kwamba mweznio amesha athirika..!! Ungekuwa umewahi ninge kuahauri utumie PEP(post exposure prophylasis) ila kwakuwa muda umekwanda cha msingi nenda kapime ili kupata uwakika wa afya yako.