Wadau habari zenu,
Mimi nilikuwa na mpenzi wangu sasa baada ya kuwa na kwa takriban mwezi mmoja tukiwa wapenzi tukaamua kwenda kupima bahati mbaya mwenzangu alikutwa ana maambukizi na tayari tulishaduu naye na yeye tayari alishaanza kutumia ARV maana alikuwa na cd4 count 97.
Mimi niliambiwa nirudi tena, Je kwa hiyo kinga aliyokuwa nayo na hatukutumia condoms mimi nitasalimika kweli?
Naombeni ushauri wa kunijaza imani.