Watu wengi sana wana confuse kuhusu OD. Ukiona Dashboard imewaka OD Off, manake ipo off, hapo gari utaona inabadilika gear faster tu, ukiwa huioni kwenye dashboard ujue ipo on hio, hapo gear zitachelewa kidogo.Naendelea kujifunza kuhusu overdrive.
Siku hizi utakuta button imeandikwa PWR hutoikuta OD, kazi yake ndio hio hio, kuna baadhi ya watu wanafikiri ukibonyeza PWR manake unaongeza nguvu ya engine. Wakati kumbe ni kama OD tu.