Msaada juu ya hizi dawa

Msaada juu ya hizi dawa

umezikuta kwenye mkoba wa shemeji nini? be open.
 
Lakn havihusian na mambo ya ukimwi au
Hapana...sio vya ugonjwa wowote

Vipo kwny kichupa kama hivi?!
9a3414f8c2ba02c8bae05d6e30059e1e.jpg
 
mkuu hili ni tangazo? hivi kweli unaona kabisa pameandikwa "revival teas" halafu unauliza ni kitu gani? si chai ya kuamshaamsha hiyo mkuu? au unauza hiyo kitu unatuletea matangazo ya biashara hapa?
 
Back
Top Bottom