Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Bsc in Economics and Finance inapatikana chuo gani?
naona km ina sound vizuri,kwa maana ya course za uchumi,graduate anaweza kujiajiri
Uzoefu unaonyesha content hazitofautiani sana. Nakushauri tafuta course content ya kila programme kisha angali ipi inaendana na matakwa yako..Wadau salama? Kuna course tatu hapa naombeni kidogo tuzichambue kwa faida ya wadogo zetu wanaotarajia kuingia chuo mwaka huu. Faculty zenyewe ni kama zifuatazo.
Utofauti wa hizi course ni upi? Na je utamshauri mtu asome course gani hapo?
- Bachelor of science in Economics & Finance
- Bachelor of Banking & Finance
- Bachelor of commerce in Finance.
Hivi mnadhani kujiajiri huwa ni kazi rahisi sana?Bsc in Economics and Finance inapatikana chuo gani?
naona km ina sound vizuri,kwa maana ya course za uchumi,graduate anaweza kujiajiri
Hivi mnadhani kujiajiri huwa ni kazi rahisi sana?