Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upo mkoa ganiHabari wakuu!
Ni kwamba kati ya hizi fursa ni ipi ni rahisi kuendesha na inatengeneza faida nzuri.
i) uuzaji wa kitimoto
ii) uuzaji wa matunda
iii) kukopesha watu hela ( watumishi wa serikali mfano walimu n.k)
Karibuni kwa maoni yenu.
Ahsante Mkuu!Kuuza kitimoto inatoka sana hasa maeneo yenye bar,,,
Kabla ya kuanza kuuza fanya utafiti kwanza maana maeneo yanatofautiana kutokana na wateja wa sehemu husika,
Lakini biashara hiyo inatokana sana kuna watu wanaifanya na inawalipa sana,
Fanya utafiti kwa kuzunguka maeneo wanayouza na uongee na wauzaji utagundua kitu,