mchaga asilia
Member
- Apr 21, 2013
- 10
- 0
Jaman habarini...naombeni msaada juu ya gharama za matibabu pale hindu mandal hospital including gharama ya kufungua file na vipimo maana kuna mgonjwa wangu nampeleka pale kesho ili nijiandae.mungu awabariki sana.