binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 960
Pole sana mkuu
Nenda kwa dermatologist.
Kuna mafuta flani hivi ya nazi yanaitwa Active Mama, yameondoa kabisa kwa mwanangu hiyo kitu kwa sasa na anakiwa soft!!
Shida kubwa ni kwamba mzalishaji wa hiyo bidhaa hayupo serious kabisaaaa!! Mara kwa mara anaishiwa bidhaa kabisa kabisa yaan utatafuta jiji zima hupati!! Ndiyo hali inayonikera!!
Kikibwa asile parachichi ndiyo zinastimulate hiyo kitu
Duh pole
Nyumbani pia tuna mtoto huwa anababuka ngozi..Kuna tube flani inaitwa amol-g Ni nzuri Sana...mtoto huwa tunampaka kwa wiki Mara2...
Daktari alisema ana pumu ya ngozi...akatupa dawa za kunywa na kupaka...ila zikiisha hali hurudi Tena
Akasema akiwa mkubwa utaisha wenyewe tu
sawa maparachichi anakula ngoja nianze kumkatisha asile tena,na hayo mafuta kwenye phamasi kama Imalaseko posta siwezi kuyapata?
Jaribu pia dawa za kienyeji mkuu kwa watu wanaojua dawa unaweza kusaidika.
Pole sana, hakuna kitu kinaumiza kama kuona mtoto wako akiwa na shida ya ki afya...
Kama upo sehemu wanauza dawa za kienyeji jaribu nina siku ya tano leo naitumia dawa ya asili baada ya mimi dawa za hospital kugonga mwamba miaka mingi , nina allergy ilikuwa inanisumbua sana ya mafua naona mafua yamekata na pua kuziba imepungua naendelea na dawa mpaka sasa
Niliyapata wiki iliyopita Mwenge kwenye maduka flani hivi yawatoto yapo mengi pamoja duka la kwanza!!
Ukitoka mataa ya mwenge kama unaenda ubungo, keep left ya kwanza ingia kushoto then utaenda kidogo utaingia kushoto tena kama unarudi mwenge!! Utapita Bank maduka yanayofuata yapo pamoja ya watoto
Sky kumbe ni Doctor, nimeona umekua tagged kwny O.P nafurahi kufaham, ndo maana unahekimaNenda kwa dermatologist.
Hapana mimi si daktari mkuuSky kumbe ni Doctor, nimeona umekua tagged kwny O.P nafurahi kufaham, ndo maana unahekima