Msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi kwa mtoto

binti wa kirombo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
847
Reaction score
960
Mwanangu wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja
1120762
alipata huu ugojwa wa kubabuka ngozi nikampeleka kwa dakati wa watoto akaniambia huu ugonjwa unaitwa Pumu ya ngozi,akanipa dawa ya tube ya kupaka kwa muda wa siku 10, hiyo hali ya kubabuka ikaiisha imepita miezi miwili sasa umerudi tena.

CC Sky Eclat
 
Duh pole
Nyumbani pia tuna mtoto huwa anababuka ngozi..Kuna tube flani inaitwa amol-g Ni nzuri Sana...mtoto huwa tunampaka kwa wiki Mara2...
Daktari alisema ana pumu ya ngozi...akatupa dawa za kunywa na kupaka...ila zikiisha hali hurudi Tena

Akasema akiwa mkubwa utaisha wenyewe tu
 
Kuna mafuta flani hivi ya nazi yanaitwa Active Mama, yameondoa kabisa kwa mwanangu hiyo kitu kwa sasa na anakiwa soft!!

Shida kubwa ni kwamba mzalishaji wa hiyo bidhaa hayupo serious kabisaaaa!! Mara kwa mara anaishiwa bidhaa kabisa kabisa yaan utatafuta jiji zima hupati!! Ndiyo hali inayonikera!!

Kikibwa asile parachichi ndiyo zinastimulate hiyo kitu
 
sawa maparachichi anakula ngoja nianze kumkatisha asile tena,na hayo mafuta kwenye phamasi kama Imalaseko posta siwezi kuyapata?
 
Duh pole
Nyumbani pia tuna mtoto huwa anababuka ngozi..Kuna tube flani inaitwa amol-g Ni nzuri Sana...mtoto huwa tunampaka kwa wiki Mara2...
Daktari alisema ana pumu ya ngozi...akatupa dawa za kunywa na kupaka...ila zikiisha hali hurudi Tena

Akasema akiwa mkubwa utaisha wenyewe tu

sawa lakini ngoja niende kwanza kwa daktari wa Ngozi nijiridhishe maana tulipewa tube ya kupaka na dwa za kunywa pia akaaa miezi miwili bila kumrudia ila juzi umeanza upya tena
 
Daa..pole sana ...
Vipi unamuwasha au ni kubabuka
 
Jaribu pia dawa za kienyeji mkuu kwa watu wanaojua dawa unaweza kusaidika.
 
sawa maparachichi anakula ngoja nianze kumkatisha asile tena,na hayo mafuta kwenye phamasi kama Imalaseko posta siwezi kuyapata?

Niliyapata wiki iliyopita Mwenge kwenye maduka flani hivi yawatoto yapo mengi pamoja duka la kwanza!!

Ukitoka mataa ya mwenge kama unaenda ubungo, keep left ya kwanza ingia kushoto then utaenda kidogo utaingia kushoto tena kama unarudi mwenge!! Utapita Bank maduka yanayofuata yapo pamoja ya watoto
 
Kama upo sehemu wanauza dawa za kienyeji jaribu nina siku ya tano leo naitumia dawa ya asili baada ya mimi dawa za hospital kugonga mwamba miaka mingi , nina allergy ilikuwa inanisumbua sana ya mafua naona mafua yamekata na pua kuziba imepungua naendelea na dawa mpaka sasa
 
Pole sana, hakuna kitu kinaumiza kama kuona mtoto wako akiwa na shida ya ki afya...
 
Kama upo sehemu wanauza dawa za kienyeji jaribu nina siku ya tano leo naitumia dawa ya asili baada ya mimi dawa za hospital kugonga mwamba miaka mingi , nina allergy ilikuwa inanisumbua sana ya mafua naona mafua yamekata na pua kuziba imepungua naendelea na dawa mpaka sasa

Dawa za kienyeji za kweli ni za mikoani huku mjini siziamini sanaa wajanja wengi kila mtu atakuambia natoa tiba mbadala
 
Niliyapata wiki iliyopita Mwenge kwenye maduka flani hivi yawatoto yapo mengi pamoja duka la kwanza!!

Ukitoka mataa ya mwenge kama unaenda ubungo, keep left ya kwanza ingia kushoto then utaenda kidogo utaingia kushoto tena kama unarudi mwenge!! Utapita Bank maduka yanayofuata yapo pamoja ya watoto

Asante mkuu ,itabidi nifunge safari nije huko mwenge kuyatafuta.
 
Back
Top Bottom