Ni kweli kama dar hapo kariakoo mtaa wa madawa ya asili na ma herbalist walinipiga sana na mahospital pia nilikuwa mteja wao kila mara, ila kurudi arusha nikatembelea baadhi ya maduka ya asili sinunui nawaelezea tu nipate wanachojua baadae nikaja nikasema nijaribu ya mmoja wapo aliyenitajia bei ndogo ndio ninaendelea nayo mpaka nimalize kutokana na nafuu niliyoona naimani nikimaliza nitapona kabisa
sawa lakini ngoja niende kwanza kwa daktari wa Ngozi nijiridhishe maana tulipewa tube ya kupaka na dwa za kunywa pia akaaa miezi miwili bila kumrudia ila juzi umeanza upya tena