plock
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 446
- 474
Ni kweli kama dar hapo kariakoo mtaa wa madawa ya asili na ma herbalist walinipiga sana na mahospital pia nilikuwa mteja wao kila mara, ila kurudi arusha nikatembelea baadhi ya maduka ya asili sinunui nawaelezea tu nipate wanachojua baadae nikaja nikasema nijaribu ya mmoja wapo aliyenitajia bei ndogo ndio ninaendelea nayo mpaka nimalize kutokana na nafuu niliyoona naimani nikimaliza nitapona kabisaDawa za kienyeji za kweli ni za mikoani huku mjini siziamini sanaa wajanja wengi kila mtu atakuambia natoa tiba mbadala