Nilihitimu form six mwaka jana nikapata I.7(Phy-C,Chem-B,Adv/math-B).Kwa bahati mbaya niliugua ghafla hivyo nilishindwa kufanya application za vyuo tcu ukizingatia mi ni yatima na sina msaada hata wa serikali ya kijiji,ni bibi yangu tu ndo ananisaidia.Ningependa ku apply chuo mwaka huu,hivyo naomba ushauri wenu juu ya kozi nzuri na inayolipa kimaslahi ya kuchagua ktk faculty of engineering ili nijiokoe kimaisha.Niko chini ya miguu yenu,nisaidieni ndugu zangu.