Msaada juu ya kozi za engineering zinazolipa Tz.PLEASE HELP!

Msaada juu ya kozi za engineering zinazolipa Tz.PLEASE HELP!

Johnsonu

Senior Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
165
Reaction score
53
Nilihitimu form six mwaka jana nikapata I.7(Phy-C,Chem-B,Adv/math-B).Kwa bahati mbaya niliugua ghafla hivyo nilishindwa kufanya application za vyuo tcu ukizingatia mi ni yatima na sina msaada hata wa serikali ya kijiji,ni bibi yangu tu ndo ananisaidia.Ningependa ku apply chuo mwaka huu,hivyo naomba ushauri wenu juu ya kozi nzuri na inayolipa kimaslahi ya kuchagua ktk faculty of engineering ili nijiokoe kimaisha.Niko chini ya miguu yenu,nisaidieni ndugu zangu.
 
engineering coz zote ni nzuri ila kwa uelewa wangu nazani civil na mining ni better kwa suala la ku secure ajira yako
 
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
 
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
suala sio kupoteza muda angalia career kwanza mwenyewe ameomba ushauri juu ya coz za uhandisi na sio business isitoshe yeye ni yatima hapaswi kufanya coz ambayo hata akikosa ajira hawezi kupewa mtaji coz familia haina uwezo lenga mbali nina uhaka unaweza küsoma miaka mi 4 ukamaliza na kuoata ajira ukakuta waliosoma miaka 3 wanasota
 
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.

No sio kweli kuwa engineering ni kupoteza muda!kama anafikir kuajiriwa engineering ni far better kuliko Bcom! Pia kama anataka kujiajir yet engineering is far better!
U can take civil,(structure/highway/water) or mining!pia u can look for new coz inaitwa oil and gas ipo I guess CPE (Chemical Process Engineering Department)
Mwisho,Muombe Mungu kama unataka kupata kazi za kuajiriwa nzuri!
 
Hakuna kozi mbaya, lakin kwa uzoefu wangu mtaani kama anapenda kozi za uhandisi soma civil au mining au geology. Watu hawa siyo siri wanawahi sana kutoka mtaani.
 
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.

Wewe lengo lako si kushauru bali ni kumpoteza...tangu lini bcom ikawa course nzuri kujiajiri zaidi ya engineering? Wapi umeona hiyo?? Ikizingatiwa yeye ni yatima? acha hizo mshauri vizuri...aisee piga electrical naona civil washajaa sana
 
Ushauri wangu: japo mm ni mchumi lakn ninacho cha kukushauli kwanza Civil ni nzuri lakn now days imeingiliwa na watu weupe so kazi yake kuipata itakuwa shida.

Pili : kusoma chemical processing nikujitaabisha nchi yetu haina viwanda vya kujitosheleza kwahyo matokeo yake wasomi ni wengi lakn ajira hamna lifikilie hilo.

Tatu: kwa mtazamo wangu kama kuna sehemu ambayo unaweza kusomea nishati (Oil na gas) future yako itakuwa nzuri si lazima iwe tanzania.. Soma hiyo hiyo inafuture sana kwa sasa.

Nne: kozi nyingine ambayo unaweza kusoma na ambayo soko lake linakuwa ni Telecommunication ni nzuri na technology hii inakuwa sana.

Welcome!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kaz ni mipango ya Mungu ww hata kama utasomea umachinga,cha msingi ni kuangalia uwezo wako na nn unafikiri kitakuwa best ktk maisha yako ya baadae,sio lazma kusoma uhandis,ila kama huo uhandis upo kwenye damu yako ww soma,lakn kama utasoma coz of ajira mwisho wa cku ndio.ninyi mwaja kutujengea mighorofa yaporomoka hata haijaisha
 
Wewe lengo lako si kushauru bali ni kumpoteza...tangu lini bcom ikawa course nzuri kujiajiri zaidi ya engineering? Wapi umeona hiyo?? Ikizingatiwa yeye ni yatima? acha hizo mshauri vizuri...aisee piga electrical naona civil washajaa sana

nyie acheni kumdanganya huyu kijana.kwani mtu kuwa yatima ndio kigezo cha yeye kutosoma bcom?nenda pale udbs kacheck ni graduates wangapi wanapata kazi haraka ukilinganisha na wenzao wa Coet!engineering kwa bongo bado sana bana.
 
Nimetafuta vyuo vinavyotoa electrical engineering nimeona kuna kinachoitwa coet ambayo n branch ya udsm vp ukiomba huko unapata loan kutoka loan board maana hiki chuo kwenye tcu kama cjakiona ndg zanguni,nisaidien hapo kidogo mm piA navutia na kozi za uingineer
 
Back
Top Bottom