engineering coz zote ni nzuri ila kwa uelewa wangu nazani civil na mining ni better kwa suala la ku secure ajira yako
suala sio kupoteza muda angalia career kwanza mwenyewe ameomba ushauri juu ya coz za uhandisi na sio business isitoshe yeye ni yatima hapaswi kufanya coz ambayo hata akikosa ajira hawezi kupewa mtaji coz familia haina uwezo lenga mbali nina uhaka unaweza küsoma miaka mi 4 ukamaliza na kuoata ajira ukakuta waliosoma miaka 3 wanasotaNenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
Wewe lengo lako si kushauru bali ni kumpoteza...tangu lini bcom ikawa course nzuri kujiajiri zaidi ya engineering? Wapi umeona hiyo?? Ikizingatiwa yeye ni yatima? acha hizo mshauri vizuri...aisee piga electrical naona civil washajaa sana
Thnx ndgcoet ipo chini ya udsm so apply thru udsm ndo watakupanga huko COET