Msaada juu ya kozi za engineering zinazolipa Tz.PLEASE HELP!

Poa kaka ila usisome kitu coz unataka hela just soma kwa jinsi unavopenda wewe na mwisho wa siku Mungu atakuonesha njia
 
Wakuu nawashukuru sana kwa ushauri wenu,na wengine watakao endelea kutoa ushauri Mwenyezi Mungu awabariki.Nadhani sasa nimepata pata mwanga juu ya kipi cha kufanya.KWA KWELI NIMEKUBALI Jf NI JUKWAA LA GREAT THINKERS!
 
kaka kasome civil au mechanical/electromechanical eng coz ajira bado ziko nje nje kwa wanaomaliza... kaka kuwa makin sana hayo ndo maisha yako au kama Vp unaweza kuntafuta kwa hii namba 0769897469 ili tuonge vzur... take care brother!!

Asante mkuu,nitakutafuta tu.
 
Soma BSc. in Civil Engineering, hapo waweza kuchagua ama Water Resources Engineering, Structural Engineering, au Transportation Engineering ufikapo mwaka wa tatu (kama utaratibu haujabadirishwa). Kumbuka: upande wowote utakaochagua ufikapo mwaka wa tatu, haukuzuii wewe kusoma baadhi ya courses muhimu uzipendazo zilizopo upande mwingine wa Civil Engineering. Ila, mdogo wangu tafadhali sana, japo ni muhimu kwa mtu kunufaika binafsi kwa fani yake, nakusihi sana: tanguliza sana maslahi ya taifa, taifa letu linayumba sana kwa sababu ya ubinafsi wetu watanzania tuliowengi. Tukiuendekeza ubinafsi, sote tutaangamia, kama taifa. Nakusihi sana mdogo wangu: miongoni mwa mambo mtu waweza kujivunia, ni kuona kuwa unamchango uonekanao katika ujenzi wa taifa lako. NAKUTAKIA MAFANIKIO.
 
Endeleeni tu na hiyo tabia ya kupenda pesa zaidi kuliko kazi.Unaweza ukaambiwa course A inalipa sana leo,unaenda kuisoma by the time unamaliza hiyo course hailipi tena kwani dunia inabadilika dairly utafanyaje?Ungesema course gani itakuwepo sokoni kwa muda mrefu say 100years to come ningekuelewa.
Angalizo;Course yeyote inaweza kukulipa kama utaitumia vizuri,sorry course hazilipi makampuni ndiyo yanalipa.
 

Asante sana.Ni ushauri mzuri na nitaufanyia kazi.
 

Asante mkuu kwa angalizo muhimu.
 
jamani tusidangnyane makazi ni moja ya mahitaji muhimu kwa mwanadamu na kwa nchi yetu miji mingi ndo inapanuka kwanza kalibia yote hata majiji yetu hii inamaana soko la lwataalamu wa ujenzi mipango miji na wataalamu wa idara nyeti ni la uhakika
 
Kuchagua kozi hapa bongo yahitaji kutulia kiukweli mdogo wangu.
 
Kamanda achana na civil we muda huu pia Petroleum ingineering ndo ipo kwny chat bongo.
 
na je kwa fani ya computer engineer inalipa pia?

Hakunaga fani ya computer engineer..tuna computer engineering!! Comp engineer ni mtu..na comp engineering ni fani!! All in all inalipa hasa kwa kujiajiri!!
 

Coet ni college ya engineering pale udsm..na kwenye tcu haipo ila koz zake nenda kwenye udsm.koz zote za engineering za udsm zinatolewa kwenye na coet(ambayo ipo ndan ya udsm) angalia pia architecture na environmental engineerin za ardhi..all the best..
 
Petroleum Engineering is not only the talk of the town but the talk of the world currently.
Its here to stay. Get yourself enrolled.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Haswaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…