Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka kasome civil au mechanical/electromechanical eng coz ajira bado ziko nje nje kwa wanaomaliza... kaka kuwa makin sana hayo ndo maisha yako au kama Vp unaweza kuntafuta kwa hii namba 0769897469 ili tuonge vzur... take care brother!!
Soma BSc. in Civil Engineering, hapo waweza kuchagua ama Water Resources Engineering, Structural Engineering, au Transportation Engineering ufikapo mwaka wa tatu (kama utaratibu haujabadirishwa). Kumbuka: upande wowote utakaochagua ufikapo mwaka wa tatu, haukuzuii wewe kusoma baadhi ya courses muhimu uzipendazo zilizopo upande mwingine wa Civil Engineering. Ila, mdogo wangu tafadhali sana, japo ni muhimu kwa mtu kunufaika binafsi kwa fani yake, nakusihi sana: tanguliza sana maslahi ya taifa, taifa letu linayumba sana kwa sababu ya ubinafsi wetu watanzania tuliowengi. Tukiuendekeza ubinafsi, sote tutaangamia, kama taifa. Nakusihi sana mdogo wangu: miongoni mwa mambo mtu waweza kujivunia, ni kuona kuwa unamchango uonekanao katika ujenzi wa taifa lako. NAKUTAKIA MAFANIKIO.
Endeleeni tu na hiyo tabia ya kupenda pesa zaidi kuliko kazi.Unaweza ukaambiwa course A inalipa sana leo,unaenda kuisoma by the time unamaliza hiyo course hailipi tena kwani dunia inabadilika dairly utafanyaje?Ungesema course gani itakuwepo sokoni kwa muda mrefu say 100years to come ningekuelewa.
Angalizo;Course yeyote inaweza kukulipa kama utaitumia vizuri,sorry course hazilipi makampuni ndiyo yanalipa.
Nenda kasome bcom,huko uhandisini ni kupoteza muda tu.
na je kwa fani ya computer engineer inalipa pia?
Nimetafuta vyuo vinavyotoa electrical engineering nimeona kuna kinachoitwa coet ambayo n branch ya udsm vp ukiomba huko unapata loan kutoka loan board maana hiki chuo kwenye tcu kama cjakiona ndg zanguni,nisaidien hapo kidogo mm piA navutia na kozi za uingineer
Coet ni college ya engineering pale udsm..na kwenye tcu haipo ila koz zake nenda kwenye udsm.koz zote za engineering za udsm zinatolewa kwenye na coet(ambayo ipo ndan ya udsm) angalia pia architecture na environmental engineerin za ardhi..all the best..