Cornel conaldo
Member
- Jul 6, 2017
- 15
- 0
Samahann wakuu hivi ni coz gani nzr ambayo humfaa mtu ambaye wastan wake wa form 4 kapa division 3 na
Ana F ya mathe
C ya chemia
C ya biology
D ya geography
D ya history
C ya kiswahili
D ya English
Ni kozi gani inayo mfaa huyu mtu ambayo anaweza kuipata kiurahisi
[emoji120] [emoji120] [emoji120] comment zenu jamn