Wanajf naombeni msaada,nilijifungua tar26 mwezi wa 9 tena kwa bahati mbaya mtoto alifia tumboni kutokana na chupa kukauka japo pia sijajua hilo tatizo lilitokana na nini maake utrasound tar19 mwezi huohuo ilionyesha kuna maji ya kutosha.
Lakini had leo hii sijapata hedhi najiuliza naweza nikawa na tatizo gani tena mimi? na naweza kutumia dawa gani kulitibu hilo tatizo? msaada pls!
Lakini had leo hii sijapata hedhi najiuliza naweza nikawa na tatizo gani tena mimi? na naweza kutumia dawa gani kulitibu hilo tatizo? msaada pls!