Msaada Juu ya kusajili jina la biashara

Msaada Juu ya kusajili jina la biashara

Piere. Fm

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,220
Reaction score
1,183
Samahani wanajamvi ninaulizia kuhusu utaratibu wa kusajili jina la biashara na gharama zake na je katika Kusajili kwa sisi watu wa mikoani utaratibu ukoje au inatulazimu mpaka tufike Dar es salaam.

Msaaada Tafadhali.
 
Ya nilazima Uende Dar mkuu,ndo utaratibu ulivyo ingawa ni wakizamani ana, Ila niliwahi kuwauliza BRELA wakanijibu kwamba kwa Mikoani wanafanya kazi na TCCIA, so jaribu kucheki nao kama wanafanya kazi za Brela means unawaa Dokoment na kila kitu wao wanapeleka Dar
 
Shukran sana mkuu kwa taarifa zako. Vipi lakini Kuhusu gharama zake zikoje?
 
Samahan wanajamvi Ninaulizia kuhusu Utaratibu wa kusajili jina la biashara na gharama zake, na je katika Kusajili kwa sisi watu wa mikoani utaratibu ukoje au inatulazimu mpaka tufike Dar es salaam.
Msaaada Tafadhari.

Kuna form maalum unayotakiwa kujaza "Business Registration Form" nimeiattach hapa, gharama yake ni kati ya 8000-10,000/= TSH si lazima uende Dar kama una ndugu/rafiki huko Dar unaweza kumtumia akakusaidia.
 
Attachments

Nimekupat vizur sana Mkuu Shukrani kwa msaada wako mkuu sasa imebaki kazi Kwangu.
 
Binafsi nafanya hii huduma ya kuwasaidia kusajili businessname, na limited company kwa gharama nafuu zaidi.Ukitaka msaada zaidi toka kwangu nitumie private message ama nipigie 0712 74 22 33. Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uhakika.

Mrejesho zaidi....

Toka nipost kwenye hii thread mara ya mwisho 2013 ,niliendelea kuwasajilia watu waliokuwa wananitafuta baada ya kunisoma hapa hadi hii 2015 nimeendelea, kifupi nimefanya kazi nyingi na watu wa mikoa tofauti tofauti MBEYA,ARUSHA ,KILIMINAJARO,DAR ES SALAAM.LINDI,RUKWA ,PWANI ,SONGEA ,KAHAMA,RUVUMA kwa upande wa limited company na business name, na watu hawa si wote ni member wa jamii forums bali walipata link walivyokuwa wanasearh taarifa za usajili pitia google .Nawashukuruni wote mlioniamini na mnaoendelea kuniamini na kunianganisha na watu wengine, pia itakuwa nzuri zaidi mkija na feedback ktk thread hii ama thread nyingine yoyote mliyopatia taarifa zangu za maswala ya usajili wa company and business names baada ya kupata kazi zenu nilizowasajilia.

Pia kuona baadhi ya kazi na feed back ya nilio wafanyia ,waweza pitia thread yangu hii SPECIAL FEEDBACK: JF members niliowasajilia Business Names na Company Limited 2013-2014

Last edited by Singo; Today at 14:10.​
 
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.

Sasa ile software yenu ina matatizo gani?

kwanini watu wasiweze ku search majina online kama UK na kuweza kucheki kama jina lipo au halipo?

Kwanini msiwafanyie watu urahisi kwenye kulipa na kusajili kampuni online kama walivyofanya Rwanda?

Kwenye duania ya leo kusajili kampuni shouldnt take more than 15 minutes na inatakiwa isizidi dola 20 per company

vitu kama memarts ni standard

na hata kufanya returns za kila mwaka should simply be done online.

je mtu akija na proper proposal mtakubali?
 
Mimi si mfanyakazi wa brela, ila ninafahamu hatua za usajili wa Company Limited .Kifupi utaratibu wao ni mbovu, mfano ili ufanye Company Name Search lazima uandike barua na ikae takribani siku tatu ndo upate jibu na lazima usajilie Dar.Nakushauri proposal yako uiwasilishe kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Brela yaweza fanyiwa kazi
 
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.

Singo: Ntakutafuta I will your assistance soon. Unawweza ni-PM mobile number yako
 
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.

Mkuu naomba unisaidie, je naweza sajili jina la biashara kabla hata sijaanza biashara. Naweza sajili jina leo lkn nikaanza mwaka ujao?
 
Mkuu naomba unisaidie, je naweza sajili jina la biashara kabla hata sijaanza biashara. Naweza sajili jina leo lkn nikaanza mwaka ujao?
yote yawezekana,kama eneo ulilojaza la kufanyia biashara litaendelea kuwa kama ulivoainisha kwenye form ya awali ya usajili, vingenevyo itaabidi ulipie gharama za kubadili eneo la biashara kama litakuwa ni tofauti na taarifa za awali katika EXTRACT FROM REGISTRAR
 
I am also in need of somebody help for registration of my bzness name,,,,,,,,please can u tell the easiest way to touch you for this deal?
 
Nahitaji mtu atakayeweza kunipatia msaada wa kusajili jina la biashara yangu BRELA,kwa kusimamia mpaka kupata crtfcate of registration........If you think you can manage this excellent please touch http// hestonejr@yahoo.com! Payment are due
constantly!
 
samahani kwa kukosekana hewani( jf na kwenye simu) kwa wale wote mlionitafuta, nilikuwa porini kwa muda ila nimerudi mjini ,naendeleza shughuli za usajili, namba yangu ipo chini unavyoendelea kusoma posts
 
updates: kupitia post hii nimeweza kuwasajilia business names member wawili wa jamiiforums mmoja anaishi Arusha na mwingine Mwanza, wanaweza thibitisha wenyewe wakiona inafaa kufanya hivyo. nakaribisha wadau wengine niwasaidie kusajili biashara zao ama company limited, nitumie pm ama uliza chochote kinachohusiana na usajili nitakujibu(kama nina kifahamu)
 
updates: kupitia post hii nimeweza kuwasajilia business names member wawili wa jamiiforums mmoja anaishi Arusha na mwingine Mwanza, wanaweza thibitisha wenyewe wakiona post hii na nakaribisha wadau wengine niwasaidie kusajili biashara zao ama company limited, nitumie pm ama uliza chochote kinachohusiana na usajili nitakujibu katika post hii

Company Ltd unafanya kiasi gani?
 
singo,
ntakucheki. vipi na kuandaa MoU?
Naomba uni PM tafadhali.
 
Company Ltd unafanya kiasi gani?
Memorundum nafanya laki MBILI 200,0000 , wakati gharama za brela hutofautiana kulingana na kiasi cha mtaji utakakuwa umeanisha kwenye memorundum .
nipigieni kwa hii 0712 74 22 33 ,
NB:COST hubadilika kutegemeana na wakati na mazingira ya kazi yatakavyolazimu
 
Habari yako ndugu, mimi nahitaji kusajiri jina la biashara na baadae kusajiri kampuni, kwasasa nipo morocco nakuja huko blera je tunaweza kuonana ukanisaidia? Namba zangu ni 0754 934398.

Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Brela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.
 
Back
Top Bottom