Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya nilazima Uende Dar mkuu,ndo utaratibu ulivyo ingawa ni wakizamani ana, Ila niliwahi kuwauliza BRELA wakanijibu kwamba kwa Mikoani wanafanya kazi na TCCIA, so jaribu kucheki nao kama wanafanya kazi za Brela means unawaa Dokoment na kila kitu wao wanapeleka Dar
Samahan wanajamvi Ninaulizia kuhusu Utaratibu wa kusajili jina la biashara na gharama zake, na je katika Kusajili kwa sisi watu wa mikoani utaratibu ukoje au inatulazimu mpaka tufike Dar es salaam.
Msaaada Tafadhari.
Kuna form maalum unayotakiwa kujaza "Business Registration Form" nimeiattach hapa, gharama yake ni kati ya 8000-10,000/= TSH si lazima uende Dar kama una ndugu/rafiki huko Dar unaweza kumtumia akakusaidia.
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.
Sasa ile software yenu ina matatizo gani?
kwanini watu wasiweze ku search majina online kama UK na kuweza kucheki kama jina lipo au halipo?
Kwanini msiwafanyie watu urahisi kwenye kulipa na kusajili kampuni online kama walivyofanya Rwanda?
Kwenye duania ya leo kusajili kampuni shouldnt take more than 15 minutes na inatakiwa isizidi dola 20 per company
vitu kama memarts ni standard
na hata kufanya returns za kila mwaka should simply be done online.
je mtu akija na proper proposal mtakubali?
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Blela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.
yote yawezekana,kama eneo ulilojaza la kufanyia biashara litaendelea kuwa kama ulivoainisha kwenye form ya awali ya usajili, vingenevyo itaabidi ulipie gharama za kubadili eneo la biashara kama litakuwa ni tofauti na taarifa za awali katika EXTRACT FROM REGISTRARMkuu naomba unisaidie, je naweza sajili jina la biashara kabla hata sijaanza biashara. Naweza sajili jina leo lkn nikaanza mwaka ujao?
updates: kupitia post hii nimeweza kuwasajilia business names member wawili wa jamiiforums mmoja anaishi Arusha na mwingine Mwanza, wanaweza thibitisha wenyewe wakiona post hii na nakaribisha wadau wengine niwasaidie kusajili biashara zao ama company limited, nitumie pm ama uliza chochote kinachohusiana na usajili nitakujibu katika post hii
Memorundum nafanya laki MBILI 200,0000 , wakati gharama za brela hutofautiana kulingana na kiasi cha mtaji utakakuwa umeanisha kwenye memorundum .Company Ltd unafanya kiasi gani?
singo,
ntakucheki. vipi na kuandaa MoU?
Naomba uni PM tafadhali.
Mimi nafanya shughuli ya kuwasijilia watu pale Brela , business registrations na Company Limited. Bei ya ya kusajili biashara ni sh 6000 tu na huchukua week kupata cert of incorporation, ila kabla ujasajili tunaandika barua ya kusearch jina kama halipo na linaloendana ,jina likiwa approved ambayo huchukua takriban siku tatu tunalipia usajili.Gharama yangu nitakufanyia 30,000, nje ya hela ya kukutumia document.Ukitaka msaadazaidi toka kwangu nitumie private message.Kifupi nina uzoefu wa kazi hii na nafanya kwa uaminifu na uhakika.