Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barua ya kuomba kazi ni lazima uiandike kwa mkono. Hii inasaidia huyo muajiri wako atambue uliomba kazi ni wewe na umetamka kwa kinywa chako kupitia barua yako. CV unaweza kuiandika kwa mkono au kwa kuichapa yote ni sawa.
sidhani kama kuna ukweli katka hilo!!hakuna kutamka kwa kinywa kupitia mkono!!kwani ukichapa na mashine utakuwa si wewe!!!!!Barua ya kuomba kazi ni lazima uiandike kwa mkono. Hii inasaidia huyo muajiri wako atambue uliomba kazi ni wewe na umetamka kwa kinywa chako kupitia barua yako. CV unaweza kuiandika kwa mkono au kwa kuichapa yote ni sawa.