Msaada juu ya maswali ya written interview Utumishi

Msaada juu ya maswali ya written interview Utumishi

Doz m

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
6
Reaction score
1
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
 
Maswali hayabadilika yako vile vile Cha msingi kujua majukumu ya Ile kazi uliyoiomba na maswali yanatoka hapo
 
Back
Top Bottom