Doz m Member Joined Nov 17, 2022 Posts 6 Reaction score 1 Jan 13, 2023 #1 Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
N Ndalambwe New Member Joined Mar 17, 2023 Posts 3 Reaction score 1 Mar 24, 2023 #2 Maswali hayabadilika yako vile vile Cha msingi kujua majukumu ya Ile kazi uliyoiomba na maswali yanatoka hapo
Maswali hayabadilika yako vile vile Cha msingi kujua majukumu ya Ile kazi uliyoiomba na maswali yanatoka hapo