Msaada juu ya maternity leave.

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,259
Reaction score
1,056
Habari za usiku huu wanajamvi. Leo nimetokelezea huku naomba msaada wa haki ya maternity leave.
Ipo hivi nina rafiki yangu wa kike kapata kazi Mwanza Idara ya (ni lawyer by profesion from Law school). Kapata hizi ajira za juzi juzi huko mwanza. Saaa the moment ajira zinatoka na hadi sasa yeye ni mjamzito wa kujifungua around tarehe 5 next month april.
Alipoenda kuripoti mkuu wake wa kazi kamwambia ya kuwa hatapewa maternity leave ile ya siku 86.
Sasa hapo ndio naomba kuelimishwa juu ya vigezo vya mtu mwenye case kama hiyo anapewa consideration gani gani na kwa vigezo vipi?
Hapo huyo rafiki yangu yupo so confused na kachoka sana hata yeye kutembea tu ni ishu.
Michango yenu tafadhali na pia kama nikipata marejeo from civil servant standing order ili nipate kumsaidia huyu rafiki yangu.
 
Iko hivi...ili mfanyakazi astahili kupata likizo yoyote anatakiwa kuwa amefanya kazi kwa kipindi kisichopungua miezi 6.Kwa huyo rafiki yako kama amefanya kazi katika muda ambao ni pungufu ya miezi.6 anaweza kupewa maternity leave ila isiyo ma malipo na the minimum she can go back to work ni baada ya miezi miwili baada ya uthibitisho wa Daktari kuwa anaweza kufanya kazi.
 
mkuu maternity leave haina conditions za baada ya muda gani mtu apewe kama ilivyo anual leave. inatolewa wakati wowote pale inapokuwa imethibitishwa kuwa fulani ni mjamzito na anategemea kujifungua.
 
mkuu maternity leave haina conditions za baada ya muda gani mtu apewe kama ilivyo anual leave. inatolewa wakati wowote pale inapokuwa imethibitishwa kuwa fulani ni mjamzito na anategemea kujifungua.
Iwapo mtu anataka materniy leave ya kulipwa mshahara kuna conditions mkuu. Kwa mfano unaweza kupata likizo moja tu ya kulipwa mshahara katika miaka mitatu. Ukihitaji likizo za uzazi mara nyingi zaidi, nyingine hutalipwa mshahara.
 
mkuu maternity leave haina conditions za baada ya muda gani mtu apewe kama ilivyo anual leave. inatolewa wakati wowote pale inapokuwa imethibitishwa kuwa fulani ni mjamzito na anategemea kujifungua.

Mkuu hapo juu kakujibu nililoongelea hapa ni juu ya Maternity Leave yenye malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…