Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
Habari za usiku huu wanajamvi. Leo nimetokelezea huku naomba msaada wa haki ya maternity leave.
Ipo hivi nina rafiki yangu wa kike kapata kazi Mwanza Idara ya (ni lawyer by profesion from Law school). Kapata hizi ajira za juzi juzi huko mwanza. Saaa the moment ajira zinatoka na hadi sasa yeye ni mjamzito wa kujifungua around tarehe 5 next month april.
Alipoenda kuripoti mkuu wake wa kazi kamwambia ya kuwa hatapewa maternity leave ile ya siku 86.
Sasa hapo ndio naomba kuelimishwa juu ya vigezo vya mtu mwenye case kama hiyo anapewa consideration gani gani na kwa vigezo vipi?
Hapo huyo rafiki yangu yupo so confused na kachoka sana hata yeye kutembea tu ni ishu.
Michango yenu tafadhali na pia kama nikipata marejeo from civil servant standing order ili nipate kumsaidia huyu rafiki yangu.