kiwiko JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 1,341 Reaction score 2,214 Feb 9, 2015 #1 Habari wadau. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mikopo ya wafanyakazi inayotolewa na mabenki mbalimbali. Je inawezekana kubadili kituo cha kazi baada ya kukopa na ukaendelea kukatwa kama kawaida katika hicho kituo kipya cha kazi ??
Habari wadau. Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mikopo ya wafanyakazi inayotolewa na mabenki mbalimbali. Je inawezekana kubadili kituo cha kazi baada ya kukopa na ukaendelea kukatwa kama kawaida katika hicho kituo kipya cha kazi ??
C chifu77 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 902 Reaction score 596 Feb 9, 2015 #2 Mdhamini wako ni mwajiri. Sidhani kama kituo cha kazi kinahusika hapa.
C Ctr JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 505 Reaction score 228 Feb 9, 2015 #3 Suala ni kwamba makato yako yanakatwa moja kwa moja hazina hata uhame toka mkoa hadi mkoa, na kinachofanyika ni kuhama na deni na makato kuendelea
Suala ni kwamba makato yako yanakatwa moja kwa moja hazina hata uhame toka mkoa hadi mkoa, na kinachofanyika ni kuhama na deni na makato kuendelea