Msaada juu ya mikopo ya wafanyakazi

Msaada juu ya mikopo ya wafanyakazi

kiwiko

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
1,341
Reaction score
2,214
Habari wadau.

Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mikopo ya wafanyakazi inayotolewa na mabenki mbalimbali. Je inawezekana kubadili kituo cha kazi baada ya kukopa na ukaendelea kukatwa kama kawaida katika hicho kituo kipya cha kazi ??
 
Mdhamini wako ni mwajiri. Sidhani kama kituo cha kazi kinahusika hapa.
 
Suala ni kwamba makato yako yanakatwa moja kwa moja hazina hata uhame toka mkoa hadi mkoa, na kinachofanyika ni kuhama na deni na makato kuendelea
 
Back
Top Bottom