cds Senior Member Joined Oct 26, 2012 Posts 144 Reaction score 78 Sep 7, 2013 #1 samahani, nauliza kuhusuk ugawa mirathi(mafao ya kazi ya kila mwezi) kwa asilimia kwa wanafamilia, je kuna umuhimu/ulazima na kama kuna madhara ni yapi. Nb. Familia ni ya mjane mmoja ila kuna form ya mfuko wa jamii inahitaji hayo
samahani, nauliza kuhusuk ugawa mirathi(mafao ya kazi ya kila mwezi) kwa asilimia kwa wanafamilia, je kuna umuhimu/ulazima na kama kuna madhara ni yapi. Nb. Familia ni ya mjane mmoja ila kuna form ya mfuko wa jamii inahitaji hayo